L_JONES5 shared an album with you on Photobucket


Hello!
L_JONES5 shared an album with you.

View Album, http://s1202.photobucket.com/user/L_JONES5/library/

Posted from WordPress for Android

Advertisements

Oldschool SongsAnother Best Songs


Aaliyah, Enzi ya Uhai Wake.
Tazama Diskographia na Historia kamilifu ya Marehemu Aaliyah.
Mwanamuziki Karyn White, Mkali wa kibao Super Woman.
Monica Arnold mmoja kati ya Waimbaji wenye heshima kubwa Duniani.
Unawajua Das EFX? Ni wakali wengine wa HipHop wa Miaka ya Tisini, Taarifa za Historia yao zinapatikana katika kumbukumbu za ukweli za Man Black.

Toni Braxton, Mkali wa R&B aliyewahi kutamba na Vibao kama
“Give You My Heart”,
“Another Sad Love Song”,
“Your Makin Me High”
na vingine vingi kama
“Best Friend”
na
“Talkin In Sleep”

.
Kwa Wapenzi wa Hip Hop nawaleta kwenu Wakongwe wa GameDR. DRE,
ICE CUBE,
na Marehemu EAZY-E, ambapo Marapa wote hawa waliwahi kuwa pamoja katika Kundi lile la N.W.A. Kupata historia zao bofya katika Jina unaloliihitaji
.

Mariah Carey, Mmoja kati ya Waimbaji wenye Mvuto waliopata kutokea Ulimwenguni, unaweza ku’click’ katika Jina lake ikiwa ungetaka kumfahamu zaidi Kimaisha na Kimuziki
Pichani juu ni Marehemu Big Pun, ambaye jina lake kamili aliitwa Christopher Lee Rios, alizaliwa Novemba 9, mwaka 1971 huko New York Nchini Marekani. Alifariki Dunia kwa shinikizo la damu akiwa na uzito wa Paundi 700 ambazo sawa na Kg 300 ambapo ilikuwa Tarehe 7 Februari, 2000 akiwa na umri wa miaka 28 huku akimwacha Mkewe Liza Rios pamoja na wanawe watatu.

BIG PUN KATIKA MUZIKI

Big Pun alikuwa mmoja kati ya Waanzilishi wa Kundi la Terror Squad, alianza kuonekana kwa mara ya kwanza katika Albam ya The Beatnuts katika wimbo ulioitwa “Off the Book” na katika albam ya pili ya Fat Joe iliyoitwa “Jealous Ones Envy” katika wimbo wa “Watch Out” alipoimba kwa mara ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea kufanya kazi na Studio ya Loud Records. Big Pun alitamba sana kwa ngoma zake kali kama
“I’m not a Player”
mwaka 1997,
“Still Not a Player”
kazi ya 1998 akiwa na Joe Thomass.
“You Came Up” akiwa na Noreaga.
“Its So Hard” kazi ya 2000 akiwa naye Donell Jones, na
“How We Roll”
ngoma ya mwaka 2001 akiwa na Ashanti.
Big Pun mwenye asili ya Ki-Puerto Rico na Ki-Marekani alimudu kutoka na Albam zake kali za Hip Hop kama vile…
#1998-Capital Punishment
iliyotoka Aprili 28.
#2000-Yeeeah Baby
ilitoka Aprili 4, na
#2001-Endangered Species
iliyotoka Aprili 3.
Labda tu nikukumbushe baadhi ya nyimbo zilizokuwamo katika Albam yake ya kwanza ya Capital Punishment ya 1998. Kwanza albam hii ina vionjo vya
Hardcore HipHop,
HipHop,
Latin HipHop,
Gangstar Rap,
Horrorcore,
na
Mafioso Rap
. Albam ilifanywa kupitia Label za Terror Squad na Loud Records. Wafuatao ni baadhi ya Maprodyuza waliotia mikono yao katika kufanikisha albam hiyo. Naanza na…
Juju,
Rockwilder,
Knobody,
RZA,
Dead Prez,
Mike Zuru,
Frank ‘Nitty’ Primental,
Young Lord,
Fat Joe
na wengineo.
Nimalize kwa kukukumbusha baadhi ya singo za ukweli zilizokuwemo ndani ya Albam hiyo, naanza na…
*Still Not a Player-
feat. Joe
*Punish Me-feat. Miss Jones
*Im Not a Player
*Beware
*You Came Up-feat. Noreaga
*Capital Punishment-feat. Prospect
*You aint a killer
*Boomerang
*Parental Direction-feat. Busta Rhymes
*The Rain and the Sun-feat. Dead Prez
*Dream Shatterer
*Intermission
*Tres Leches(Triboro Trilogy)feat. Prodigy & Inspectah Deck
*Twinz(Deep Cover 98)feat. Fat Joe
*Uncensored(skit)feat. Funkmaster Flex
*Glamour life-feat. Fat Joe, Triple Seis, Almageddon & Cuban Link
Hizo ni baadhi tu ya ngoma zilizopatikana katika albam ya Marehem Big Pun iliyoitwa “Capital Punishment” ambayo ilitoka Aprili 28, 1998.
Huyu ndiye Whitney Houston, wengi humkumbuka hasa kwa singo yake ile ‘I Will Always Love You’, ‘How Will I Know’, na nyinginezo nyingi tu.
Tatyana Marisol Ali- 2009
Ama kwa upande mwingine namleta kwenu Tatyana Ali, Binti wa Bondia maarufu Duniani Muhamad Ali. Historia zaidi kumhusu Tatyana Ali bonyezea kwa hapa.

Lakini pia ninao waimbaji wengine kama
PAULA ABDUL
BRANDY
ARETHA FRANKLIN
MICHAEL JACKSON
Deborah Cox, Mwimbaji mwenye asili ya Canada aliyewahi kutamba na nyimbo kama ‘Sentimental’, ‘Who Do You Love’ na ‘Just Be Good To Me’. Atakumbukwa Daima!

MAN BLACK MUSIC


Mwimbaji mwenye asili ya Canada, Celine Dion pichani juu mkali wa kibao “The Power of Love” na kadhalika.
Huyu ni Teddy Riley Prodyuza na pia mwimbaji mwenye vipaji vingi na mwenye uwezo wa kuichezea sauti yake atakavyo lakini pia ndiye mhimiri mkubwa wa kundi la Blackstreet Boyz kutoka nchini Marekani.

9O’s GREATEST HITS


Hili Ndilo Saiti La Wajanja!

DISKOGRAPHIA


Ma’Songs Ya Kitambo

BIG BANK MUSIC


manenolusasi@aol.com

%d bloggers like this: